Natafuta Rosella ya kununua

Sanjara Honey

Member
Jul 1, 2009
71
32
Wajasiriamali,

Nahitaji kilo 1000 za rosella kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kuongeza thamani. Kama kuna mtu anazo au anajua mkulima kwenye nazo naomba msaada wa kuunganuishwa naye.

Asante
 
Sizijui. Labda taja kwa jina la kienyeji.
Matunda yake ndo haya:
whole-rosella-fruit.jpg
 
Habari wakuu naomba msaada nahitaji karkade.. rosella kwa bei ya jumla naomba msaada kwa anaejua wapi nitapata na bei zake.....
Hazihitaji kwa wingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom