Tafuta mtu mnaefahamiana,usije ukaingia mkenge ukapanga na watu waliokimbia kesi huko kwao,mkaja kuunganishwa sehemu moja. la muhimu zaidi jitahidi kujisimamia mwenyewe maishani
Kwa namna dunia ilivyobadilika kwa sasa; kwa kweli sikushauri wala kukuunga mkono. Binafsi nakushauri utafute tu chumba kinachoendana na uwezo wako. Usilazimishe mambo tafadhali.