Natafuta Room Mate wakike

Nyumba yangu ni kubwa ya 4 bedrooms. tuko watatu tu. chumba kimoja kiko wazi. naweza kukuweka kama paying guest. kuna kitanda na tv. kama uko interested, nijulishe hapa then nitakupigia for further discussions.


UOTE=emilwayne;3137344]Serious natafuta room mate wakike niwe na share chumba moja na mm nipo chuo, plz kama haupo seriou usijishuhulishe na hapa.. Namba yangu ni 0755243224[/QUOTE]
 
nawakika hapo chuoni kwenu kuna watu hawana hifadhi wanalala mpaka chini kwanini usitafute mwanaume mwenzako umpe hifadhi?????
 
I wish I could be of help. Umekuwa very specific juu ya gender na huja taja uko wapi. Please kuwa specific.
 
Anaegawa akili kwa binadamu ana upendeleo sana. Nadhani wewe ulipewa kb 3 za akili. Chuo husemi, kwa nini unahitaji mate husemi, aina ya mate (wanafunzi au yeyote) husemi. Sasa wewe ni mwanafunzi wa aina gani usiweza kujieleza. Au umetokea sayari nyingine?
 
Back
Top Bottom