juan david JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 3,976 Reaction score 5,466 Nov 2, 2013 #1 habar wanajf natafuta rcv ya mpeg 4 bei iwe inaanzia 100,000 kwenda mbele nayeneuwezo WA kupatch biss key
habar wanajf natafuta rcv ya mpeg 4 bei iwe inaanzia 100,000 kwenda mbele nayeneuwezo WA kupatch biss key
Mulangila Mukuru JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 1,945 Reaction score 729 Nov 16, 2013 #2 Aina hii ya receiver imekuwa majanga zinazopatikana sana ni hizi MPEG2 ,binafsi nimeitafuta sana sijapata.
Aina hii ya receiver imekuwa majanga zinazopatikana sana ni hizi MPEG2 ,binafsi nimeitafuta sana sijapata.
KIM JONG JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 213 Reaction score 57 Nov 16, 2013 #3 Mimi ninayo Eurostar ES 10 ambayo ni DVB S2 MPEG4 ambayo nimeinunua mwezi uliopita ikiwa mpya. Sijui kama unaweza kupatch biss key. Niko tayari kuitoa kwa kuwa nimenunua aina nyingine. Kama utaihitaji ni-PM
Mimi ninayo Eurostar ES 10 ambayo ni DVB S2 MPEG4 ambayo nimeinunua mwezi uliopita ikiwa mpya. Sijui kama unaweza kupatch biss key. Niko tayari kuitoa kwa kuwa nimenunua aina nyingine. Kama utaihitaji ni-PM
Mavella JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 459 Reaction score 76 Nov 16, 2013 #4 juan david said: habar wanajf natafuta rcv ya mpeg 4 bei iwe inaanzia 100,000 kwenda mbele nayeneuwezo WA kupatch biss key Click to expand... ninayo lakini haina key edit.
juan david said: habar wanajf natafuta rcv ya mpeg 4 bei iwe inaanzia 100,000 kwenda mbele nayeneuwezo WA kupatch biss key Click to expand... ninayo lakini haina key edit.