Natafuta Remote control ya philips model 26HF5444/10

Natafuta Remote control ya philips model 26HF5444/10

simango

Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
94
Reaction score
34
Habari zenu wadau
Nina shida na rimont controller ya philips model no. 26HF5444/10 original yenye menu zote ninahitaji sana hiyo aina ya rimont yeyote ambae anayo tuwasiliane kwa namba hii 0676333101 whatsapp pia napatikana kwa namba hii....au kupitia barua pepe...bindirambagire@gmail.com.....bindirambagire@live.com........au bindirambagire@yahoo.com
WP_20160930_002.jpg
 
Acha maneno mengi .toa offer una kiasi gani .? Mi nnayo
 
Tafuta universal remote control. Zipo za tv na uhakikishe katika list ya tv na phillips yako imo. Sio lazima exact model. Ni mwisho wa matatizo.
 
tumia motorolla..
zinafaa sana izi mkuu.
 
Back
Top Bottom