upo mkoa gani?
Hahaaa The Boss husahau. Nimeachana na issue za Club nimeona napoteza direction yangu. Nimerudi kwenye programming.Yuko hapa msome umuone...
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/666241-ndani-ya-club-71-tegeta.html
Yuko hapa msome umuone...
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/666241-ndani-ya-club-71-tegeta.html
Nasikia kunakitu anataka kufanya mwenye Club :llama: aingie mwenye kujua.
Hiyo Private issue sidhani kama ni vizuri kuongea kwenye Public.
Upo familiar na language zipi mkuu?Nimefanya programming mpaka ubogo haufanyi kazi tena.
Upo familiar na language zipi mkuu?
Habari za mida wadau.
Dah nimechoka kweli, kichwani kama nyundo zinagonga. Sijui niende wapi nikapate refreshment.
Au maeneo gani ya watu wa ukweli niweze kubadilishana nao mawazo.
Hebu wadau mnaofahamu maeneo ya kuchill. Au kama vipi tuungane. I real need to refresh my mind. Nimefanya programming mpaka ubogo haufanyi kazi tena.