Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

Natafuta Receiver ya Strong (SRT 4922)

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Habari wadau!

Naomba msaada kwa mtu anayejua sehemu (duka) ambalo naweza kupata receiver ya strong (SRT 4922), hasa kwa Dar es Salaam na Mwanza.

Natanguliza shukrani.
 
Faida yake kubwa kwa sasa ni kufungua tv chanel zilizofungwa kwa mfumo wa power vu,na zina movie tamu sana pia mpira
 
Ilisolokobwe nitext kaka 0773942251 tuongee me naihitaji sana 4922 original
 
Hata mimi natafuta hii receiver sijui nitapata wapi kwa sasa.
 
Mtafute member anaitwa njunwa mvavoko ndo mambo yake haya
 
Back
Top Bottom