Natafuta Receiver ya FTA Dreambox

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Kama una receiver ya Dreambox nataka ya kununua ikiwa na accessories zake zile muhimu...

Napendelea Original ila hata clone itakua poa tu
Na ni zile model za HD ndo nataka e.gDM500HD,DM800HD na DM7200HD

Contacts: +255753932250
 
dreambox800.jpg
 
Mkuu hapa bongo ni bahati tu labda itokee kuipata hiyo dreambox. Nakushauri buy online

Asante kwa ushauri mkubwa nawa target tu wale wenye nazo na wamezitunza tu au wanazionea features ktk utumiaji wake

Nafikiri na test kwa mara ya mwisho
 
Back
Top Bottom