Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
Sifa za ramani, tayari ushavtaja. Kimebaki kuweka mjumuisho pekee. Kwanza una htaji mifumo gn? Jibu tayar utalipata, la sivyo utauziwa ramani au nenda halmashaur kaombe ramani(, ila kuna kiasi cha pesa utachajiwa pia)
Ukipata maushauri nicheki na mie...nina mpango huo huo pia
Geto kama la ngwea
Kiwanja ni kidogo lakini unaweza weka apartment tatu za mpangilio ulilosema na jiko kwa kutumia 6×6m na bado ukawa na eneo kwa bafu na choo vya nje kwa kila apartment na eneo la parking la 14×14m, kama kipo eneo lenye mfumo wa maji taka. Anza na apartment moja kwenye moja ya kona ya kiwanja chako. Usisahau kuidhinishwa ramani yako na mipango miji, kuna adhabu kwa ujenzi holela.Umenipa akili mpya, ni kwenda halmashaur, cost zipoje?
Kiwanja ni kidogo lakini unaweza weka apartment tatu za mpangilio ulilosema na jiko kwa kutumia 6×6m na bado ukawa na eneo kwa bafu na choo vya nje kwa kila apartment na eneo la parking la 14×14m, kama kipo eneo lenye mfumo wa maji taka. Anza na apartment moja kwenye moja ya kona ya kiwanja chako. Usisahau kuidhinishwa ramani yako na mipango miji, kuna adhabu kwa ujenzi holela.
kaka hapo umeeleza vizuri. nikushauri kitu muhimu. andaa kwanza site plan yaani eneo lako unataka ulitumieje . yan kwenye uwanjanwako kutakuwa na vitu gani, ujue iyo nyumba yako ya chumba kimija utaiset wapi na mbeleni utajenga nyumba ya ukubwa geni, je ukiamia kwenye nyumba kubwa hiyo ndogo utapangisha au???
So inabid uwe na full plan ya matumizi ya site/ Eneo lako
otherwise baadae unaweza jutia maamuzi yako
Jino moja mswaki wa nini?
Hicho sio chumba ni nyumba
Jr
Kuna jamaa kanishahuri nijenge kwenye kona ya uwanja, hii naona ni nzuri, ili nipate parking, na garden , napenda garden sana.
Na baadae nije niongeze , iwe nyumba kubwa iliyo kamilika, ila master itabaki hivyo hivyo , mm na wife.