Natafuta Ram za desktop na laptop. Best offer

Trainer

Member
Dec 28, 2018
88
125
Mwenye Ram za desktop au laptop used aje pm . Desktop nataka zenye 4Gb na laptop za 2gb... 5 pcs each.

Location : Dsm

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nivek11

JF-Expert Member
Feb 26, 2019
212
225
Mwenye Ram za desktop au laptop used aje pm . Desktop nataka zenye 4Gb na laptop za 2gb... 5 pcs each.

Location : Dsm

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nina RAM ya 2GB ya laptop tshs20,000/=
 
KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,545
2,000
Kila siku mnafundishwa namna ya kuweka matangazo
kuna watu wanahitaji wakifika wakute mawasiliano no blah blah
zingatia mambo muhimu ya kuweka katika matangazo
 
Zeus1

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
4,657
2,000
Kila siku mnafundishwa namna ya kuweka matangazo
kuna watu wanahitaji wakifika wakute mawasiliano no blah blah
zingatia mambo muhimu ya kuweka katika matangazo
Achana nae mkuu,why kujichosha..
 
pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
340
1,000
Yaaan Ujasema anataka ram za aina gani
SDR DDR DDR2 DDR3 DDR4 pia ujasema PC speed ngapi Mfano kuna
DDR2 PC2 4200 5300 6400
DDR3 PC3 8500 10600 12800 17000
DDR4 PC4 1600 2400 3200

Ila zipo
DDR 512mb 1gb laptop
DDR2 512mb 1gb 2gb laptop
DDR3 1gb 2gb 4gb laptop
DDR4 8GB laptop

DDR 512mb 1gb desktop
DDR2 1gb 2gb desktop
DDR3 2gb desktop
Zipo PC tofaut

Uwezo nilizoandika hapo ndizo nilizonazo
Ukiona zipo zinazokufaa tuwasiliane
whatsapp / call 0777039477
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom