kiongozi hicho chuo hakipo duniani... hamburg-Germany, Cambridge -UK, halafu nchini uholanzi?????
Mlikuwa wapi hadi mkifikisha 27 ndo mnakuja mitandaoni?????
He!!! Nakusubiri huku
hahahaha, siji PM, email hiyo hapo juu
mimi nataka tuanze na mapenzi urafiki utafuata tukizoena... kama upo serious njoo inbox
nahitaji rfk, mapenz yatakuwa matokeo ya urafiki nk
Mlikuwa wapi hadi mkifikisha 27 ndo mnakuja mitandaoni?????
mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rfk wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia diploma hadi phd, mwenye nia anitafute: stream2island@gmail.com
Mimi nna thifa dhote dha kuwa na wewe...
Nna 35 yrs
Elimu yangu PHD
ni mwajiriwa wa kampuni binafsi
dini mkristo...ila tatizo nimekosa thifa moja tu.."thijitambui.."