Natafuta Rafiki wa kiume

Natafuta Rafiki wa kiume

Ziada

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
82
Reaction score
17
Mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu

Sifa

*Awe ana umri kuanzia miaka 25 mwisho 30

*kabila asiwe mtu wa mara, wandengeleko wala wazaramu yaliyobakia sawa

*asiwe mnene wala mwembamba sana

*elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea

*awe muajiriwai au mjasiriamali

*dini awe mkristo madhehebu yote isipokuwa wasabato.

*awe anaishi dar es slaam
 
Kwa hio tutume cv au ingawa na najua interview ya dini nitafeli tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom