Natafuta Rafiki wa kiume

Natafuta Rafiki wa kiume

Mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu

Sifa

*Awe ana umri kuanzia miaka 25 mwisho 30

*kabila asiwe mtu wa mara, wandengeleko wala wazaramu yaliyobakia sawa

*asiwe mnene wala mwembamba sana

*elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea

*awe muajiriwai au mjasiriamali

*dini awe mkristo madhehebu yote isipokuwa wasabato.

*awe anaishi dar es slaam

Aliyekuwa tayari tuwasiliane kwenye email hii
shaninandala7@gmail.com

Umetaja vingi....

Experience miaka mingapi?
 
Nimefeli kipengele cha kabila....jamani mbona tunabaguana wana jf????????????????
 
ni PM kama kwel upo serious..mim nnavyote hivyo ulivyotaka mama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom