Natafuta Rafiki wa kiume

Natafuta Rafiki wa kiume

hautaki mwanaume wa kutoka mkoa wa mara..? sidhani kama unatafuta mme mwema we utakua unatafuta mwanaume wa kukupikia
 
Niko tayar kukupa mapenz ya kwel na uaminif mkuu.kama utakuwa upo criaZ.naomb unpm.a
 
mimi ni msichana mwenye miaka 23 najishughulisha na biashara ndogondogo natafuta rafiki wa karibu wa kiume baadae mungu akipenda aje kuwa mume wangu

sifa
*awe ana umri kuanzia miaka 25 mwisho 30
*kabila asiwe mtu wa mara, wandengeleko wala wazaramu yaliyobakia sawa
*asiwe mnene wala mwembamba sana
*elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
*awe muajiriwai au mjasiriamali
*dini awe mkristo madhehebu yote isipokuwa wasabato.
*awe anaishi dar es slaam

aliyekuwa tayari tuwasiliane kwenye email hii
shaninandala7@gmail.com

niko hapa lakini mimi huwa situmiagi email labda uni pm haraka
 
Naogopa utanichezea. Yaani unitumiee then ukitosheka unipige kibuti?
kwanini usiseme unataka mchumba direct unazungukazunguka ukikuta wameisha kuoa utamlaumu nani mkuu.
 
sijazunguka bali nimetaja sifa nazo zitaka ningesema nataka mchumba tu hayo maswali yangekuja
 
Nashukuru kwa cv nyingi sana acha nizifanyie kazi then nitarudisha majibu kama nimefanikiwa au sijafanikiwa🙂🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom