Wewe ni saizi yangu we ni PM tu tukutane nikupetipeti toto
Nini maana yake kwa Kiswahili???
Moderator kwanini msiweke uzi kwa watu wa style hii? Halafu Display Name ukiwa huwezi kutafuta mwenzi katika mazingira yanayokuzunguka ujue una tatizo. Wenzi wa mtandao wenye sifa hupatikana kwa nadra sana.
Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)
Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.
Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.
Karibuni
weka namba zako pia weka picha yako hapokubadilika as per mazingira yaliopo... heheheee wanawake wa siku hizi yaani hadi raha walahi.
weka namba zako pia weka picha yako hapo
mi kama wewe mzee nikimpigia kesho nataka mamboooo ila mwanangu napenda sana mkia upooooakiniPM ndo nitamtumia namba na picha. katuanza kwa thread, basi hata huko PM atuanze pia. tena mie nina hiyo character anayoitaka ya ''kubadilika kulingana na mazingira'', yani huwa sikawizi. teh teh teh
yaan huwa hukawizi' wew una hatari,embu cheki nami ww mrembo,ila ningependa kufaham unafanya shughuli ganiakiniPM ndo nitamtumia namba na picha. katuanza kwa thread, basi hata huko PM atuanze pia. tena mie nina hiyo character anayoitaka ya ''kubadilika kulingana na mazingira'', yani huwa sikawizi. teh teh teh
yaan huwa hukawizi' wew una hatari,embu cheki nami ww mrembo,ila ningependa kufaham unafanya shughuli gani
mi kama wewe mzee nikimpigia kesho nataka mamboooo ila mwanangu napenda sana mkia upoooo
najua lazima utakuwa unamjua mmoja mwenye mkia wa kufa mtu nipe namba zake mzee,nimgongeeyap bro. mwanamke mwenye 'mkia' ana mvuto sana. me mwenyewe napenda sana mwanamke dizaini hiyo.
Habiri wakuu,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)
Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.
Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu.
Karibuni
Umepata! Elimu yako na Occupation yako Tafadhali!!Habiri wakuu,