Natafuta rafiki wa kiume

watokea wap kwan wewe.??
i mean unaish mkoa gan?????
 
Siku hizi kuna warembo wenye jinsia za k.i.u.m.e😛hoto:......
 
Mi naona kabla hujaanza kupost kutafuta mchumba wa kiume, ungetafuta post za wanaotafuta wachumba wa kike, ukiona unafit wasifu wa anayehitajika na unaukubali wasifu wa mtafutaji basi unacheki naye.

Kwa sababu humu kuna threads kibao za watafuta wachumba wa kike kwa wa kiume. Ukikosa sasa ndio unakuja kuandika.

Mfano ukicheki hizi link hapa chini unaweza kukuta hawa watu hawajapata wanaowatafuta ukabahatisha.

https://www.jamiiforums.com/love-connect/610023-binti-aliye-tayari-kuolewa.html

https://www.jamiiforums.com/love-connect/610929-natafuta-mchumba-mke-daktari-nesi-au-mwalimu.html

https://www.jamiiforums.com/love-connect/609716-natafuta-mchumba-wa-kike.html
 

ulikuwa unamaanisha nini??
 

Nimeshawaambia wanakuja mama. Pole kwa upweke.
 
Seriously??? Basi U've found me.... just pm ... will get back seriously....
 
Hivi kwenye bandiko sijaandika waume wa watu hawaruhusiwi......

watoto siyoshida as long as mama yao haupo nae yan mumeachana

Hili jibu mwenyewe nilikuwa nalisubiri, wa kwangu haniridhishi bt bado nipo naye.
 
tuwasiliane kwa pm fasta maana nahisi kuchelewa hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…