Natafuta rafiki wa kiume

  1. Je uko tayari nihamie kwako ili nimalize huo upweke wako?
  2. Je tutawowana kwa miaka mingapi? (kwa sababu haiwezekana kupendana for life)
 
Sifa zote unazotaka ninazo lakini nina kibamia sijui kama nitakufaa.

Dah! mtihani huo..... lakini kuna usemi usemao kwa kingereza lakini "something is better than nothing"

poa tuuu
 
  1. Je uko tayari nihamie kwako ili nimalize huo upweke wako?
  2. Je tutawowana kwa miaka mingapi? (kwa sababu haiwezekana kupendana for life)

jibu la swali la kwanza,,, yani mie mwenyewe nakaa kwetu sa si itakua balaa hiyo

jibu la swali la pili,,, mi siwezi jua ntakupenda hadi lini. We njoo tuangalie tutapendana hadi lini.
 
Sifa zote unazotaka ninazo, na pia ziada ya hapo kwani ninauzoefu wa kuwa na mwenza kwa miaka mingi. Nina mke na watoto.

Kwa hiyo ni PM.
 
Wewe binti unatangazia nyang'au minofu? Watakuliza sasa hivi!
 
Wewe binti unatangazia nyang'au minofu? Watakuliza sasa hivi!

hata huko nilipotoka nimelizwa vya kutosha,,, ngoja nijaribu bahati yangu.

thanks for ur concern tho
 
Hizo sifa ninazo lakini unataka kunikabidhi moyo wako niupeleke wapi? UFAFANUZI tafadhali
 
Sifa zote unazotaka ninazo, na pia ziada ya hapo kwani ninauzoefu wa kuwa na mwenza kwa miaka mingi. Nina mke na watoto.

Kwa hiyo ni PM.

Hivi kwenye bandiko sijaandika waume wa watu hawaruhusiwi......

watoto siyoshida as long as mama yao haupo nae yan mumeachana
 
hata huko nilipotoka nimelizwa vya kutosha,,, ngoja nijaribu bahati yangu.

thanks for ur concern tho

Humu ulimoingia sipo pamoja na kukata tamaa na kulizwa sana. Ok try ur lucky
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…