Kwanza rafiki tukifaana ataja Kuwa mchumba then tukishibana had I kifo
saa rafiki tu masharti kibao...aaah wasubiri wacha mungu.
Sifa zote ninazo,iliyopunguamm ni mkulima.
Usiusemee moyo wa wenzako name siwezi kubadilisha kwa Kuwait we we so wao thanxKwa mantiki hiyo majority hapa JF hawatakufaa! Tumekwishakuoa na hakuna serengeti boy mwenye umri kati ya miaka 35 - 45! Pls change friendship requirements hasa umri, say miaka 18 - 30.
yaani kaka una haraka kweli,
hata huo urafiki haujakubaliwa,
tayari ushaanza masharti yako ya kupima HIV, weye vipi?
Kusoma umesoma najibu unalo kaka
Akili za kuambiwa changanya na za kwako!!!!Dada ni rafiki tu au rafiki mchumba naomba ufafanuzi tafadhali
Sidhani km kutajwa sana kwa HIV kunamaanisha if u really care take an action name yule uliyena mahusiano nae otherwise haisaidiiHumu jf neno HIV likitajwa tu watu wanafunga hiyo siredi na kwenda kwingine.! Why??! We need to take it as a normal thing then unyanyapaa utapungua na kueneza zaidi kutapungua.
Natafuta rafiki wa kiume umri wa miaka 37 - 45 awe mfanyakazi au biashara mcha mungu mkristo mweusi mrefu kiasi miaka yangu 37 mjasilia Mali ukitaka kuniona nifuate Facebook search for faithcolly utsniona mengi tutaongea tukikubaliana nataka rafiki anayejitambua kwa umri huo name imani atakuwa Ametulia kifkra .if u want to be honest be true!
Mbona nimeandika mengi utaelezwa ikiwa rafiki yangu anza name moja ujur mbili ikolenimekuuliza hivo coz unapunguza sample, weka uwanja mpana upate sample nying madada
Naona waume za watu nafasi iko wazi hapa. Si urafiki tu? Hebu twende PM tukajaribu bahati zetu. Mke wangu si mkali kiviiiile.
Uxiusemee moyo wangu kuwa na marafiki wengi we kunakupa shida mbona unakiherehere name maisha ya wenzako niwe desperate au nisiwe unawashwa na mini mbona we na yako umeyakaliabt fb unamarafiki wengi sana....it seems you are so desperate...i believe bila hata kutangaza hapa hao wa fb unaweza pata a real and gud friend.huku wengi are not serious yet with fake ID's.
Tatizo hauko honest undo maana utakuja
Uxiusemee moyo wangu kuwa na marafiki wengi we kunakupa shida mbona unakiherehere name maisha ya wenzako niwe desperate au nisiwe unawashwa na mini mbona we na yako umeyakalia
Punguza ukali basi mama. Twende mdogo mdogo.
Najijua najitambua Niko OK urafiki uko wa aina nyingias long una mke utakuwa wa kaka na dada hauna mipaka