natafuta rafiki wa kiume

Hellow, wewe uliyeweka hii status! Mimi niko very interested. Kama vipi tuwasiliane kwa hapa 0718651174 and then tutalonga zaid
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Siku hizi changudoa wanafanya mambo kimtandao!! Endelea labda utafanikiwa kwani we una uzuri gani na hao ulionao umewaeleza kuwa umeweka bango huku.
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
Nina vigezo vyote.
Wewe mbona hujajieleza umri wala wajihi wako?
Naogopa nsije kujiingiza kwa wa darasa la 8 la zamani 1967 ulipomaliza!!!!
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

ninazo kwa asilimia 80.Ila hapo kwenye Acc ndo shida.urefu si kihivyo.....ila mie poa.repy if ok.
 
vigezo vyote ninavyo nina 96M kwa acc yangu, ila naomba na wewe uwe na si chini ya 80M kwa acc yako japo sitazihitaji na mimi
 
vigezo vyote ninavyo ila kwenye acc nina mara nne zaidi ya hiyo hela ni pm
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

wewe una sifa gani,au ni kibaka 2 huna sifa yeyote,una wataka watu kwa kuangalia sifa zao angali wewe huna elimu,huna hata ml 1 huna rangi inyoeleweka mkorogo umekukoroga hadi kupoteza rangi.hebu weka sifa hapa tuone kama na ww unasifa ya kuwa na mwanaume.
 
Huyu Sio rafiki ni mpenzi! Biashara unatakia nini? Mijitu mingine Bwana? Unaweza vigezo vyako hapa mtu mwenyewe unakuwa dungayembe! Kwa niñi uje hapa? Shule, kazini? Mtaa? Kanisani au msikitini kote huko umekosa?

My take:

Fikirini kabla ya kuleyaga ujinga Kama huu.

Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.
 
okay!nimekubali kushindwa.siitaji tena.kumbe mkiguswa mfukon mnaruka.ha haaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom