natafuta rafiki wa kiume

Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Nina vigezo hivyo na zaidi sana. Unfortunately siko interested.

But you need counseling kwani unachukulia mahusiano kwa kuweka kigezo cha Pesa. Money is nothing in true working relationship.

Itabidi tuanzishe thread kuhusu hilo.
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Hapa kwenye RED una maanisha nini sweetie? Unataka mzungu? na hii 10m ya nini kama hui hitaji? mbona unajikanganya? inaonekana wewe unatafuta ATM.
 
Haa jaman nimesema rafiki na hizo pesa siziitaji mm na wala sio mpalestina.hapa anatafutwa mmoja tu tena nadhan atanielewa yy!wengine msiogope.tunatakiwa kuendana kila kitu hata mawazo yatakua sawa!
 
wewe sweetlol wewe,khaaaa haya bibie unalo na ukomae nalo...ushapata weye lkn?
 
hehehehe wapenda samaki za kukaanga hujui waliyomuanadaa samaki mpaka akaja mezani.nakushauri nawe ingia bwawani ukavue ujue adha ya samaki na si kuvizia samaki aliyeandaliwa.
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

me pia nipo tayar na vgezo pia,,,,emmanuelvitali@tanzaniamail.com
 
Kwa stahili hiyo unafikili utapata mpenzi wa kweli kama sio kudanganywa na kufunuliwa kisha kuatchwa,,,,acha tamaa ya mali mapenzi ayaendi kihivyo wewe,,,,acha uhuni.
 
Vigezo.
Rangi-mweupe
urefu-5.7 to 6.1
Dini-mkristo
elimu-kuanzia degree
Kabila-any
umri-27-38
mengineyo,awe mwenyetabia za kiume mwenye upendo na biashara.asiwe na chini ya milion 10 kwenye acc ingawa sintazihitaji.mcheshi,mkweli,anayempenda mungu nakuzishika amri zake.asiye kunywa pombe wala kuvuta sigara.
Only a friend mambo mengine mbele ya safar.
Ni pm plz kama uko na vigezo na ur intrsted.

Kwi kwi kwi!Subiri uone kama atakuwepo wa kuku PM! Afu we ninahakika ni Mch**** mana mhh! Me ninavigezo vyote ila nakulaga tigo, are you read for it?
 
una nyumba?...ndio nimejenga maeneo ya Mbezi beach
una gari?...ndio wazee,ninaendesha toyota RAV 4
una Tembo Master Card?....aah! mmh!...aah! hiyo wazee sina
 
Y r u asking something u don want? 10mil! Alafu unataka mwenye degree ila atakupandisha kwenye mdigirii binaadamu mkubwa wewe! Mwone :
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom