😁Mkuu, mbona kama neno "does" humaanisha kukiri uwepo wa jambo alafu mwisho unasema not existSeriously people does not exist.
Hata bibi alikuwa binti.Hakuna binti mwenye miaka 30
Yupo sahihi sema angepaswa kutumia neno do instead of does.😁Mkuu, mbona kama neno "does" humaanisha kukiri uwepo wa jambo alafu mwisho unasema not exist
napata ukakasi
ndicho na mimi kimenichanganya Mkuu, natumai atasahihishaYupo sahihi sema angepaswa kutumia neno do instead of does.