Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Mbona mimi umesahau kuni tag
Mbona mimi umesahau kuni tag
Kwahio mie ndio umeniona kijamvi cha wageni 😅 sio!
Naona wazee wa loose ball kazininjoo pm tuyajenge utanishukuru baadae
jamaniiii hahahahha mungu anakuonaaDaah, umri wako umeenda sana
Jamani, usiahirishe kunitoa out tu..I beggggKwahio mie ndio umeniona kijamvi cha wagenisio!
Taifa lina vijana wengi sana wa hovyo.nakuja DM, wanume wengine takataka kabisa, unamuumizaje Binti mzuri kama huyu.
Sema astakafurlai...kwamba mwana extr ndo aende pm?...hahahah
Mimi nimemuita tu, uthinichonganisheSema astakafurlai...kwamba mwana extr ndo aende pm?...hahahah



Aya mubebez😛 im here!Bhana mimi nilikumiss nikakuita tu.
Ooh usijali mucweet 😋 outing iko pale pale jiandae!Jamani, usiahirishe kunitoa out tu..I begggg
Multipurpose maamaeeOoh usijali mucweetouting iko pale pale jiandae!

mchezaji kiraka😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣😅😅😅
Kama una sifa za kuitwa wife material! Na pia sifa nyingine za ziada kama zile za uzuri wa tabia, sura na umbo! Basi usiendelee kupoteza muda wako kwa hao Mabaharia.Habari zenu ,, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye,,najihisi mpweke ,ila sitaki kurudiana naye.