Natafuta rafiki wa kiume

Huyu anatafuta bwana au danga acha kuzuga eti rafiki. Rafiki gani masharti mengi ivo
 
Hapo kwa urefu nipo mimi height 5'11" sinywi pombe wala sivuti sigara/bange na sina sina time na mademu ila tatzo langu ni moja tu naipenda Manchester united tu basi si nitakufaa?
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM

Sorry...kama hutojali....afya level gani degree/diploma..???
 
Habari za majukumu,

Naamini nyote mpo salama, natafuta tafiki wa kiume mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa pombe wala sigara wala wanawake, awe mkristo. Mwenye elimu walau ya secondary, mfanyakazi serikalini au mashirika.mwenye uelewa wa maisha na mpambanaji, awe mrefu, mng'avu kidogo , mwenye muonekano mzuri, umri kuanzia miaka 30 hadi 40.

Wasifu wangu, mimi nimemaliza chuo ,ni mfanya kazi, field ya Afya.umri wangu ni 29 . Nahitaji rafiki wa Dhati.

Njoo DM
0625784125
 
Naona sifa zote nnazo, nitumie picha in box.
 
Mi form 4 felire, sijaajiriwa
Sio mrefu
Sio mg'avu,
Sio mlevi,
Sivuti sigara
Hela ninayo ya kutosha kujirusha na memes sijui waweza nisaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom