Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Aug 20, 2015 Thread starter #21 kisungu said: Hupati nakuambia..hupati Click to expand... Kwanini nisipate mkuu. Hakuna mwenye sifa hiyo?
kisungu said: Hupati nakuambia..hupati Click to expand... Kwanini nisipate mkuu. Hakuna mwenye sifa hiyo?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 20, 2015 #22 She is coming soon
beautifulonyinye JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 728 Reaction score 481 Aug 21, 2015 #23 Ellyson said: Haya 32. Umeridhika?? Click to expand... hapo sawa, ila mm sistahil maana niko below
J j j malobe Member Joined Aug 14, 2015 Posts 15 Reaction score 1 Aug 21, 2015 #24 Ellyson said: Haya 32. Umeridhika?? Click to expand... Unbelievable said: Ndiyo urafiki huo sasa wewe mwenyewe soma vizuri uzi wa mwenyewe utaelewa baada ya urafiki kuna kifuatacho. Click to expand... Yafuatayo Hapo haina haja ya kuingilia,watajuana wenyewe kwani hata mapenzi huanzia kwenye ngazi ya urafiki
Ellyson said: Haya 32. Umeridhika?? Click to expand... Unbelievable said: Ndiyo urafiki huo sasa wewe mwenyewe soma vizuri uzi wa mwenyewe utaelewa baada ya urafiki kuna kifuatacho. Click to expand... Yafuatayo Hapo haina haja ya kuingilia,watajuana wenyewe kwani hata mapenzi huanzia kwenye ngazi ya urafiki
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Aug 21, 2015 Thread starter #25 j j malobe said: Yafuatayo Hapo haina haja ya kuingilia,watajuana wenyewe kwani hata mapenzi huanzia kwenye ngazi ya urafiki Click to expand... Umesema kweli Mkuu
j j malobe said: Yafuatayo Hapo haina haja ya kuingilia,watajuana wenyewe kwani hata mapenzi huanzia kwenye ngazi ya urafiki Click to expand... Umesema kweli Mkuu
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Aug 21, 2015 Thread starter #26 beautifulonyinye said: hapo sawa, ila mm sistahil maana niko below Click to expand... Ukifikisha usisahau kunitafuta mkuu. Unakaribishwa sana
beautifulonyinye said: hapo sawa, ila mm sistahil maana niko below Click to expand... Ukifikisha usisahau kunitafuta mkuu. Unakaribishwa sana
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Aug 21, 2015 Thread starter #27 Bado nawakaribisha sana.
Ellyson JF-Expert Member Joined Nov 13, 2010 Posts 1,714 Reaction score 405 Aug 21, 2015 Thread starter #28 Hampo?
swit sasha JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 270 Reaction score 206 Aug 26, 2015 #29 mi nitakutafuta nikikaribia huo umri