umurumaithaa
Member
- May 9, 2015
- 70
- 8
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Ni pm mwaya tutaongea mengiHabari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Nipo mbeya..naruhusiwaHabari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Muhmu awe true friend sibagui jinsia wala kabila
Muhmu awe true friend sibagui jinsia wala kabila
awe mlefu au mfupi????
biashara matangazo nothing else
Asante, hata ww unaweza ukaweka tangazo lako