Natafuta rafiki/mpenzi ambae baadae atakuja kuwa mume

53801ae14317c7586b817037b6c7659d.jpg
Hahahaha safi sana umenikumbusha kitu
 
Subiri tu watakuja wenye umri unaotaka. Ngoja tusubiri miaka kumi kama bado utakuwa hujampata tuta negotiate
 
nah

Nahitaji tu rafiki kwa sasa urafiki ukikua na ikaonekana kwamba tunaweza ku-copy tutaamua iwe hivyo
Nimekusoma kwa kila mstari na kila neno..unamaanisha na unachohitaji..njoo inbox tafadhali#Anora
 
Eneo pekee rahisi ya kupata mume ni eneo unalofanyia kazi tu!Huku kwingine UTAUNGUA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom