Kuna umuhimu wa kuwa na elimu jamani, ndo maana nikaomba awe na degree, mimi niko naishi ughaibuni jamani, hivyo nategemea mke pia aje kuishi uku, sasa kama elimu itakuwa chaka tutapata shida kupata kazi, la sivyo ataishia kufanya kazi za ajabu ajabu, wakati mke wangu nataka afanya kazi fresh uku tunatafuta mkwanja wa kumuupdate, au siyo?
poa kaka
IDIMI hujapata? Nataka nami kuandika kuwa natafuta rafiki 🙂
Ashapatikana man!
Ndo tunamaliza mambo madogo madogo ya hapa na pale!
Weka tangazo lako, wapo kibao tu!
Pitia thread hii toka mwanzo, utawaona tu.
Hongera, IDIMI. wengine tusingeweza kuapply manake qualifications zingine unazozitaka hatuna.
Umri IDIMI Umri! I am 33. lakini najua vigezo vingine vyote navimudu.
Hongera kwa kuweka tangazo hili. you are brave. sio wanaume wengi who can do what you did. alafu msichana ukiishi Dar ni vigumu kukutana na wanaume wa maana!
Naomba e-mail address yako
Kwi kwi kwi!
There you are!
Deal.
There you are!
Kanyanga twende!
Kila la kheri!
IDIMI...eeeeh. IDIMI upoooooooo??
Mimi nimemaliza sasa. Nimempata, au sijui kanipata hahaaaaaaaaa. Ila kila nikimtumia ujumbe napata meseji 'email unayotuma wa sasa haipatikani, tafadhali jaribu tena badae'
mkuu ndo maana akaiweka uko kwa kina michuzi, hapa angeweka asingepata hiyo publicity aliyopata! namwonea imani kweli
Toto La Kichagga
IDIMI...eeeeh. IDIMI upoooooooo??
Mimi nimemaliza sasa. Nimempata, au sijui kanipata hahaaaaaaaaa. Ila kila nikimtumia ujumbe napata meseji 'email unayotuma wa sasa haipatikani, tafadhali jaribu tena badae'
Toto La Kichagga
Kwi kwi kwi!
There you are!
Deal.
IDIMI...eeeeh. IDIMI upoooooooo??
Mimi nimemaliza sasa. Nimempata, au sijui kanipata hahaaaaaaaaa. Ila kila nikimtumia ujumbe napata meseji 'email unayotuma wa sasa haipatikani, tafadhali jaribu tena badae'
Toto La Kichagga
Nimeona, lakini mbona IDIMI ameweka masharti yake, kwanini hajashambuliwa? Lakini Manka anashambuliwa? Mambo ya Beijing hayo.