Derick Elisha
New Member
- Nov 29, 2017
- 4
- 1
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta rafiki ambaye atakuwa mshauri kwangu haswa haswa katika suala zima la maisha, sijali umri jinsi wala rangi ili mradi awe na hofu ya Mungu na mkweli. Mengi zaidi tukiwasiliana atayajua