Natafuta pump za maji zinazotumia DC power

Natafuta pump za maji zinazotumia DC power

ROKY

Senior Member
Joined
May 4, 2011
Posts
182
Reaction score
70
Wana-JF,
Natafuta pumps ndogo za maji zinazotumia umeme wa DC.
Nataka kutumia pump hizo kwenye systems za aquaponics kwenye miradi ya ufugaji samaki na kilimo cha mboga.
Naomba anayefahamu wapi nitapata hizo pump hapa Tanzania, au kwa kuagiza nje anijulishe.
Mfano wa pump hizi ni kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Asanteni sana.


$%28KGrHqFHJE4FHciL+c%280BR9RMs6z9Q%7E%7E60_12.JPG


$T2eC16hHJH8E9qSEYPG%28BRwheNOLl%21%7E%7E60_35.JPG
 
Bwana Roky, hiyo pump inapatikana, naomba kama hutojali weka namba yako nitakupigia au nicontact kwa email address frajosmal@yahoo.com
Ili tuwasiliane jinsi utakavyotaka ikufikie. Asante.
 
Back
Top Bottom