Ninayo projector aina ya SHARP
MULTIMEDIA PROJECTOR
MODEL:-
XR-20X /XR-20S
XR-11XC/XR-10S
OPERATION MANUAL
Bado ni mpya haijatumika. Ukinunua unapata na manual yake. Mimi niliinunua Marekani na ninaiuza kwa 1,200,000 Tsh /= Anayehitaji apige simu namba 0754 806828.