Natafuta Programmer anisaidie kazi yangu

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,086
habari wana jf, kichwa cha habari kinahusika nina Idea ya project nataka nifanye sasa ili hiyo project ikamilike inatakiwa nimpate mtu wa Programming so kama unajihisi uko vema kwenye programming please naomba uje Pm tuzungumze kwa undani
 
Mkuu...

Ni vyema ukasema unahitaji mtu wa programming language gani! Je c, java, python au php?? Ili mtu ajue anaanzaje kuja huko PM!!
 
Back
Top Bottom