mwenye kuweza kunisupply power supply inayowasha display ya lexmark x854
au kunielekeza wapi nawezakupata nitashukuru.
Mafindi kibao wamecheza nayo bila msaada bawa pekee ni kupata spare yake.
au mtu mwenye kuweza kuiagiza toka nje ni altetnative nyingine nnayotegemea.