plasido divi
Member
- Feb 1, 2015
- 90
- 21
mkuu, nitakutafuta as soon as I arive in Arusha probably mwishoni mwa mwezi huu. thanks.Mateves kunajamaa anauza kiwanja na anazaidi ya ekari 2 kabla hujafika national housing ni pazuri sana na anauza bei ya 9m kwa 20/20 kutoka barabara kubwa ni km2 na kutoka barabara mpya ya east africa ni mt 300 .kama utahitaji tuwasiliane 0759547047
...teh hee heeMAHAKAMA KUU.
kwani unaogopa MAHAKAMA mkuu? mbona kitu cha kawaida sana. sisi wenzio ndo tunashinda huko juma tatu hadi ijumaa miaka zaidi ya kumi sasa. hivi kuna watu huwa mnaogopa?...teh hee hee
..umeandika kwa herufi kubwa kabisa kutuchimba mkwara;
.kwahiyo sisi tukale wapi sasa
thanks mkuuKanunue NAMBALA kule karibu na Mandela University kuna nyumba za washua zinaibuka kule na kuna barabara ya lami inajengwa kwenda Usariver, toka Arusha mjini na maji sio tatizo na kuna vingine ngaramtoni karibu na Radio maalumu.ukifika Arusha ukiwa hujapata nitakupeleka kwa wahusika ila usinisahau soda yangu ukifanikiwa
Inategemea wewe unavutiwa na maeneo gani, binafsi ninapenda eneo la kijani, maeneo mazuri na yenye maji tele, hali ya hewa nzuri na maeneo ya kutosha nje ya mji...wastani wa km 10 ni kuanzia ...Moshi road( Shangarai hadi kwa Mrefu) hapo kuna maeneo mazuri sana. Ninayafahamu kwa undani sana, panapendezani sehemu ipi arusha ukijenga ni sehemu ya middle class, at least hakuna uswahili, kila mtu anajua yake? please watu wa arusha nisaidieni.
Haya ni matusi, kwa wapika gongo?Maeneo ya matejoo kulee
Achana naye huko ni zaidi ya Tandale uzurimatejoo ipo kama kuelekea wapi? sorry
Si kweli boss, Moshono stand, club D ni pabaya kweli au unataniaSafari City ndio kutakua USHUANI kuliko kwingine kote hapa Arusha. Mark my words na baada ya miaka michache utaniambia.
Ujenzi wake huhamishi udongo kama Kilala au Moshono. Ingawa kipenda roho hula nyama mbichi. Kama bado unapenda Moshono sawa ila ujue hakuna mitaa ni skwata!
Size yake ni 15x10m utazifanyia nini?nssf kaloleni kwenye hiyo round about kulikuwa na bango daily lilikuwa linapigwa na vumbi likiwa na plots luluki sijui siku hizi limeishia wapi ila zilikuwa na bei fair sn
Sekei ni karibu na hapo piahuko pia lazima nitatafuta mkuu. nalenga pia kuishi karibu na nitakapofanyia kazi, MAHAKAMA KUU.
Umenena mkuuCheki Tengeru, very accesible. Opposite na Mountain village. Viwanja vimepimwa. Huduma zote zimo
Pazuri ni barabarani tu, ukiingia hatua kumi ndani ni vichochoro. Barazani kwako ndio chooni kwa mwenzako. Bora kusema ukweliSi kweli boss, Moshono stand, club D ni pabaya kweli au unatania
Njoo olasiti mkuu hutajuta. Utakua Jirani yangu hamna squatters bei ni nzuri sio kubwa Sana za kutisha