Heshima mbele wakuu! Kwa anayejua wapi naweza kupata pimbi wa kufuga anijulishe tafadhali. Wanahitajika as soon as possible. Kama unao wa kutosha tafadhali inbox me au weka namba yako hapa nitakupigia. Na kwa wale wenye uzoefu na ufugaji wa hawa wanyama tafadhali naomba mnijuze A-Z ya wanyama hawa.
Yeah kaka Billie ametaka kujua nawahitaji pimbi kwa sababu gani. Wanatumika kwenye kafara. Kafara ya pimbi ina nguvu sana kaka! Mdudu mwingine mwenye nguvu za ajabu kwenye kafara ni KIBIRINGISHA MAVI au SCARAB kwa kiingereza. Kama kuna mtu anaweza nisaidia namna ya kuwapata hawa viumbe, ani inbox tufanye biashara.