Natafuta pikipiki chap chap

Natafuta pikipiki chap chap

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Natafuta pikipiki KIBAO CHA MBUZI ya aina yoyote. FEKON, SANLG n.k.

Bajeti yangu ni shilingi laki tatu (300,000/=), bila kuzidi hata kidogo.

Piga chap-chap tufanye biashara chap-chap 0653422776.

Nipo DSM, TMK.
 
Kuna watu wanapenda kweli kupoteza muda wao kwa fundi bila kujali nguvu kazi zao.
We pesa hiyo si sawa na kununua Baiskeli ya Sport
 
Back
Top Bottom