Natafuta PC ya laki mbili!

Kweli wewe baba matatizo, fika duka la pale Msimbazi, opoziti na kituo cha polisi. Wana used poa sana, nadhani hutakosa pendeleo lako.
 
ya kwako mkuu ama ya watoto kujifunzia typing? utapata but with very low spec ambazo haziendani na mambo mengi ya sasa
 
ya kwako mkuu ama ya watoto kujifunzia typing? utapata but with very low spec ambazo haziendani na mambo mengi ya sasa
Nataka ya kwangu wakuu!NAOMBENI contacts za sehemu ambapo zinapatikana.Kwa kuwa hapa kwa wana technologia natumaini nimefika kwenyewe!
 
sijui wapi utaipata lakini uikiipata inunue kama uko competent kidogo kwenye mambo ya IT la sivyo miezi michache unaweza kuta umetumia laki mbili nyingine kutatuta matatizo yake mengine
 
ongeza 50000 hapo utapata na crt monitor, tembelea maduka ya used computer kkoo

Kwa vile ww ni Baba Matatizo, nakuhakikishia utapata hata Pc za sh 75,000. Nenda pale majembe auction mart ya Nkrumah street au universal auction Mart nyuma ya Lion Hotel Sinza
 
Habari wana JF?natafuta PC ya shing laki mbili.angalau iwe gb 80 na ram 512.mwenye nayo anijuze!

Kama unataka very basic pc kama hiyo utapata tu bana-hata mbuyu ulianza kama mchicha! Nakupm namba ya jamaa mmoja sasa hv (usishanga sana lugha ya anayoongea! teh teh )
 
Waweza pata lakini bila ya crt monitor,nenda Afro computers kwa wasomali stend ya mabasi ya kimara na mbezi
 
Back
Top Bottom