Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,378
Hapo Sasa. si kila i7 ni nzu
xeon nyingi hazina single thread perfomance ya kutosha, huwezi kugame nazo na workstation zina quadro gpu ambazo sio nzuri kwenye gamesbest pc we tafuata workstation laptop au desktop zina tofauti kubwa na za kwaida na hizo core i series
ikiwa unataka best tafuta laptop au pc zenye Xeon Processor (50 - 60MB L cache. ) processor hizi ziko double
i5 sec gen sawa ila first gen games nyingi za kisasa za AAA huwezi cheza, codecs za kisasa kama x265 na vp8 utapata shida kuplay,Bei rahisi na dedicated graphics card kwa bongo haviendi pamoja.
Kuna HP nimeiona mjini nvidia 940mx i7, 16gb ram 2.3 mil, unless una matumizi fulani ambayo ni cpu intensive kama video processing/ encoding any i7 sawa tu hata i5 haina shida, nina first gen i5 haipati shida kwenye chochote kasoro video encoding inachukua muda.
wengi tunatafuta pc kwa jina bila kuchunguza hardware. mfano mtu atasema workstation au processosr fulani ni best like core i7.xeon nyingi hazina single thread perfomance ya kutosha, huwezi kugame nazo na workstation zina quadro gpu ambazo sio nzuri kwenye games
kweli mkuu japo hizo i7 ulizotaja ni za desktop za laptop latest ni zile zinazoishiwa na Hq au HK kama i7 6800HQ, i7 7820Hk etcwengi tunatafuta pc kwa jina bila kuchunguza hardware. mfano mtu atasema workstation au processosr fulani ni best like core i7.
zipo core i7 zenye single thread kubwa baadhi tu,hizo hatuezi kupata katika computer asilimia 99 zilizopo bongo.
model zenyewe ni
PRocessor name Single thread price
intel core i7-7700k @4.20GHz 2.595 349.99$
intel core i7-4790k @4.00Ghz 2.527 339.99$
intel core i5-7600k @ 3.80Ghz 2.410 245.92$
itel core i3-7350 @ 4.20Ghz 2.359 189.99$
itel xeon E3-1285 v3 @ 3.60Ghz 2.340 730.93$
itel xeon E3-1281 v3 @ 3.70Ghz 2.338 677.50$
hizo ndio intel zenye single thread ndogo.
tukija kwenye xeon CPU hapa tunapata core 18 single thread ni 36 zipo zenye sigle thread mpaka 100......
processor hizi ni high end madeveloper wa game hawatengez games pointed to xeon processor kwani huwezi zipata kwa wacheza game. zaidi ya Taasisi za kichunguzi,mawasiliano,hackers,software engner,
napia bei zake cpu tu ni mkasi.
mfano mimi nilishakua na laptop hii Titanus X95MW - Intel Xeon E5 V2 Series wakati naipata as used kwa mzungu alipatia baada ya kusolve tatizo lake na kumpa maelekezo. nikamwacha baada ya wiki mbili nikakutana nae tena na akaamua kunipa bure. nilitafuta thamani yake ni dolla 3000.... niliamua kuiuza ebay kwa dolla 2450
Bei ya processor sio mchezo hapo mkuuubest pc we tafuata workstation laptop au desktop zina tofauti kubwa na za kwaida na hizo core i series
ikiwa unataka best tafuta laptop au pc zenye Xeon Processor (50 - 60MB L cache. ) processor hizi ziko double
Mkuu rendering ni multicore jinsi unavyokuwa na core nyingi ndio jinsi inavyokuwa na speed . ila unaweza ukafanya rendering na gpu ukiwa na software ya quicksync basi intel hd graphics itapeta na ukiwa na software za cuda hio nvidia itakusaidia itategemea na hio software hapa.Wadau kuna hii pc Ya Hp pavillion 15 nimekuwa nikiifatilia mda kidogo nataka niitumie kwa rendering works na Architectural modelling. Specification zake ni:
Intel core i5-6200U 2.5Ghz
1TB 5400rpm sata
Graphics ni za nvidia Geoforce 940MX..Je itafaa kwa matumizi hayo?, na pia bei na upatikanaji wake..na kama kuna ushauri mwingine itakuwa msaada zaidi..karibu..
Asante chief..maelezo mazuriMkuu rendering ni multicore jinsi unavyokuwa na core nyingi ndio jinsi inavyokuwa na speed . ila unaweza ukafanya rendering na gpu ukiwa na software ya quicksync basi intel hd graphics itapeta na ukiwa na software za cuda hio nvidia itakusaidia itategemea na hio software hapa.
Kuhusu mambo ya architect software kama autocad ni single threaded zinataka core moja yenye nguvu hivyo hio i5 6200u inaweza sumbua.
Kama budget unayo around dola 800 unapata inspiron mpya yenye gtx 1050 na i7 quad 7th gen, hakuna laptop nzuri na bei rahisi kama hii kwa sasa
Kwa laptop i7 quads hizi ndio zina balance baina ya single thread na multithread perfomance.
Kama budget ndogo tafuta hata used i7 quads za 4th gen mitaani nyingi sasa hivi zimeshuka chini ya milioni
ina dedicated gpu hio ya 2nd gen? kama haina bora hio hp 15 sababu ya gpu, pia kwenye single thread hazina tofauti sana kwenye multithread tu ndio hio i7 ya 2nd gen ipo vizuriSumu ya panya na chief nimerudi kwa msaada zaidi...je ipi ni bora kati ya hp 15 niliyoitaja hapo juu na specification zake zidi ya :
HP Pavilion dv6-6190us - 15.6" - Core i7 2630QM - Windows 7 Home Premium 64-bit - 8 GB RAM - 750 GB HDD
Na ukiangalia hii ya pili ni quadcore ingiwa ni second generation