Natafuta patner wa biashara ya tiGOPesa, M-Pesa, Airtel Money

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,881
3,619
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Mimi kama kijana ninayepambana kutafuta ugali, nimeona fursa katika hii biashara ya miamala natafuta mtu mwenye mtaji wa kuanzia mil na kuendelea mbele ili kusaidiana katika maisha haya.

Mimi sina mtaji ila kuna sehemu nimelenga hapo hatukosi hela za kula kabisa nina uhakika huo. Nimeleta wazo langu hili najua humu kuna watu mbalimbali wenye uwezo tofauti na wengine tunavyochukulia uaminifu ni mkubwa mno.

Mwenye kuungana na mimi tukasaidiana pakubwa aje PM tafdhali
 
Anachangia kulipia eneo la biashara labda.
Mimi nakuletea watu broo na gawio la mwezi lote unachukua ww mimi najua ntakula vipi na mimi.mambo ni mengi sana mtu mwenye akili za kijijini kwao atasema kuna harufu ya utapeli
 
Mimi nakuletea watu broo na gawio la mwezi lote unachukua ww mimi najua ntakula vipi na mimi.mambo ni mengi sana mtu mwenye akili za kijijini kwao atasema kuna harufu ya utapeli
Yani una utaalamu wa kumtambua mtu akitaka kufanya muamala unamchukua na kumpeleka kwenye kibanda ama imekaaje?
 
mkuu wengine wanakuwaga wagumu kuelewa,wachache tumeshakuelewa...ni bahati mbaya tu nilikuwa sijajipanga na sina izo line za uwakala..ningekuwa nazo huu uzi ungekuwa ushafungwa sahivi
Kweli mkuu.watanzania tulio wengi ni waathirika wakutapeliwa kaka kwahiyo kila kitu wanaona wanaona kama ni chenga.
 
Back
Top Bottom