Natafuta patna cc

hahahahaha
 
Una makwesheni mingi, kwani we ni polisi P?

Aooouuu.....huwa napasikia tu......? ndege ya kwenda huko ipoje.....? huko ni Ulaya eeeh....? ni pazuri.....? nikitaka kwenda nafanyaje......?
 
Nakupenda sana mpenzi wa mimi, zawadi yako nishanunua tena zile material mnaziita Wax...pia nina surprise gift yako najua utaipenda sana...
Kijana naye ana zawadi yake saa ya Rolex...

soon c u luv!!!

 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi
 
Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi

Umeona eh?? na mie napakumbuka sana aisee, nilipapenda sana Bashnet na hali ya hewa sijui kama ipo kama zamani zile tena na huu ukataji holela wa miti
 
Umeona eh?? na mie napakumbuka sana aisee, nilipapenda sana Bashnet na hali ya hewa sijui kama ipo kama zamani zile tena na huu ukataji holela wa miti
bashnet ndo wapi jamani??
 
Ha ha ha ha umenikumbusha sana Bashnet. Huyu Mtz one mie sijui anaongelea wapi wakati wengine hata kupanda ndege hatujawahi
nasikia kuna promo nyingi tu za fastjet unaweza kulimbua mwaka kwa ndege hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…