mbona yamekwisha jaman? nimekuelewa
Preta (shemeji mstaafu)
Nikupe ushauri usio na malipo, ni hivi si vzr kila utakapopasikia upashobokee ukapaone!
Je? Ikija akwambie DK ni "Danguroni Kwetu" namie nakujua we si wa viwanja hivyo, si utakushuka?
Rejea neno "si kila tundu lafaa kutia kidole!"
Kuna TUNDU jingine hua si tundu bali ni mtu, tena Mbunge!
okay shost DK ni kifupi cha DENMARK
nimependa hapo pa blue shemeji........na ninavyopenda kutoboa.......
Aooouuu.....huwa napasikia tu......? ndege ya kwenda huko ipoje.....? huko ni Ulaya eeeh....? ni pazuri.....? nikitaka kwenda nafanyaje......?
kuzuri sana kuja unatakiwa uwe na passport,, visa ndége za huku nyingi unaweza panda KLM, ,, AIR ETHIOPIAN,,,,SWISS AIR,, na nyinginezo karibuùfurahie falme ya denish
hahahahaha,nipo kaka si unajua kijijini network haisomi.Kaka upo?umesharudi mjini nakuona umeanza kwepo humu
inategemea na ndege na daraja mfano economy class,,,,business class ,,,na first class sasa hapo unachagua mfano KLM ni direct flight yaani huzunguki nchi nyingi ukiruka zako dar unachange dege amsterdam then to your destination so nauli kwa economy ni kama m2 go and return ila kwa mashirika mengine yenye mzunguko mrefu nauli ni cheap sana mfano AIR ETHIOPIANnauli sh ngapi.......? wewe umekuwa huko muda gani.....?
Wifi,taratibu.
Nipo huku,namnyooshea nguo mume wangu.
inategemea na ndege na daraja mfano economy class,,,,business class ,,,na first class sasa hapo unachagua mfano KLM ni direct flight yaani huzunguki nchi nyingi ukiruka zako dar unachange dege amsterdam then to your destination so nauli kwa economy ni kama m2 go and return ila kwa mashirika mengine yenye mzunguko mrefu nauli ni cheap sana mfano AIR ETHIOPIAN
Darling mzima wewe...ndio maana asubuhi umenichunia, kumbe ulishajua nimelikoroga huku