Natafuta patna cc

Yaani mpwa of all people mimi niwe ndio wa kukukaripia wewe, no way siwezi kufanya hivyo...ile ilikua ni changamsha jukwaa tu nadhani unajua huku tupo CC...nothing serious at all.
Hata hivyo samahani kama nimekukosea heshima, kwa walionizoea hapa CC kwao ingekuwa rahisi kung'amua kuwa nilikua nachangia uzi kiCC zaidi lol...


he mbona umetumia ukali hivo? nilikuwa DK nimerejea home sasa kimekukera nini mimi kuandika dar? nilikuheshimu watu8 lkn leo umenivunjia heshima am no longer in respect with u
 
Last edited by a moderator:
Shem asante kwa kunisaidia kumuelewesha huyu best yangu...inabidi niwe nachagua basi watu wa kuChitChat nao...

Dah!
Shem watu8,nini tena baba.
mtz one.
Just a joke jamani,japo umemfikiria vibaya mwenzako.
Usiku mwema.
 
Last edited by a moderator:
okay pamoja
 
mkuu kama hukupendezwa na post yangu ungenitumia hata PM kwa heshima tuliyonayo baina yetu...nothing serious, na nilipost ile kitu kwa kuwa najua wanifahamu but now I doubt!!!

ananiita mimi form 4 then anarusha mashambulizi kama vle nimmuomba yeye
 
Sasa asipo mention hivyo, kwamba yeye ni Mdaslama , atajitofautishaje na sie raia wa huku Mchambawima? Na wa kule Mpwapwa kwa wakwe zangu?

Kaka, hivi shem Husninyo yupo wapi? ulipotaja Mpwapwa hapo karoho kamedunda puuu!!
 
Last edited by a moderator:

sasa bado anataka tena patina? Alafu yupo siriasi?? Pasua kichwa.
 
mkuu kama hukupendezwa na post yangu ungenitumia hata PM kwa heshima tuliyonayo baina yetu...nothing serious, na nilipost ile kitu kwa kuwa najua wanifahamu but now I doubt!!!

yesi ai dauti olso ifu hi no yuu.
 
Shem asante kwa kunisaidia kumuelewesha huyu best yangu...inabidi niwe nachagua basi watu wa kuChitChat nao...

Ndo mana kuna member mmoja aliuliza swali,anataka kujua kwa nini kuna baadhi ya member miaka nenda rudi wako Chitchat,hata ukiwaudhi hawabanduki?
Jibu ni moja tu- wanajua huku CC, Ukiwa serious utahama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…