Mbona siku hizi kuna vile vitabu vya past paper vinauzwa sana mjini hapa..nenda Mtaa wa Somora utaviona..ila naweza kukushauri pia usizipende sana kwa sasa.
wewe ni form five soma kwanza vitabu vingine kama Pure 1 and 2,tranta,Engineering Math...ukiwa fit ndo uanze na hizo papers.