za form ngapi?
Unasoma shule gani?
Ndo nakwenda kuanza 4m five pcm,mwanga sec.
Mbona siku hizi kuna vile vitabu vya past paper vinauzwa sana mjini hapa..nenda Mtaa wa Somora utaviona..ila naweza kukushauri pia usizipende sana kwa sasa.
wewe ni form five soma kwanza vitabu vingine kama Pure 1 and 2,tranta,Engineering Math...ukiwa fit ndo uanze na hizo papers.
unaenda kuanza 4m 5 unatafuta za 4m 6.
Ndio maandalizi mapema au?