Don Buyoya
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 114
- 362
Vip unataka kampani? SemaTulipofikia bora kuelezana ukweli kuwa mpo kupeana company na kupunguziana upwiru ili kila mtu ajue mipaka yake
Mambo ya kufatiliana na kugandana kama kupe ni mambo ya kizamani.
Shukrani za dhati kwako mtoa mada.🤝
Mijihela nimeiweka UTT subiri ikifika 2035 ni PM bond zangu zitakuwa zimeiva hivyo nitakuhitaji uje unisaidie kutumbua mihela.Vip unataka kampani? Sema
Kijana kuna magonjwa na mikosi.. Unaweza haribu maisha yako yote kwa kile tunacho ita raha ya siku mojaNdio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.
Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana.
Maeneo ni dar na dodoma.
Karibuni PM.
Mtatekwa mtupwe baharini na nyege zenuVip unataka kampani? Sema
Ali kibao alikuwa na nyege?Mtatekwa mtupwe baharini na nyege zenu
Kwani kwenye ndoa hakuna magonjwa???!!!Kijana kuna magonjwa na mikosi.. Unaweza haribu maisha yako yote kwa kile tunacho ita raha ya siku moja
achana na ali kibao.. kwanzaAli kibao alikuwa na nyege?
kaza fuvu tu, Kuna magonjwa na kuna mikosi.. maisha ni kuchagua.. kaa na mpenzi wako mmoja tulie mujijengeKwani kwenye ndoa hakuna magonjwa???!!!
Kwa takwimu tu za harakaharaka wanandoa ndio wanaongoza kuwa na magonjwa ya zinaa na UKIMWI.
Ndoa ni dhana na FALSAFA mufilisi kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Kijana amka kutoka usingizini.
Aamke kabisa anaotaKwani kwenye ndoa hakuna magonjwa???!!!
Kwa takwimu tu za harakaharaka wanandoa ndio wanaongoza kuwa na magonjwa ya zinaa na UKIMWI.
Ndoa ni dhana na FALSAFA mufilisi kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Kijana amka kutoka usingizini.
Hoja yako haina mashikoachana na ali kibao.. kwanza
Sawa , njoo basi hapa kwangu . ti vibikeHoja yako haina mashiko
Tafuta hela na uzielekeze sehemu sahihi hakuna kitu kama mikosi na upuuzi kama huo.kaza fuvu tu, Kuna magonjwa na kuna mikosi.. maisha ni kuchagua.. kaa na mpenzi wako mmoja tulie mujijenge
Uko wapi?Sawa , njoo basi hapa kwangu . ti vibike
Weye kaza fuvu, endelea kufanya unayofanya shekhe.. Maisha ni kuchagu.. Ila fahamu kuna magonjwa na mikosi.. hiyo ni facts wazugu wanasemagaTafuta hela na uzielekeze sehemu sahihi hakuna kitu kama mikosi na upuuzi kama huo.
Hizo dhana zimeanzishwa na wasomi wa social engineering ili kuweza kufanya social structuring na kurahisisha kuwatawala binadamu.
#Tafuta hela, uzinzi na ngono utauita mapenzi.
Hapa, NDC 😁Uko wapi?