The Kop
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 209
- 92
wasalaam wadau....
nina shamba la zaidi ya ekari 50 ambalo liko kama mita 400 kutoka kando ya ziwa victoria.
kwa sasa ninasoma chuo, natarajia kuingia mwaka wa mwisho hapo oktoba.
malengo yangu hasa ni kujiajiri katika shughuli za kilimo hususan mazao ya 'viungo' kama vitunguu 'swaumu', tangawizi, karanga na mengine kama hayo. nimeuliza wataalam wa kilimo wameniakikishia kuwa mazao hayo yanawaeza kustawi ktk udongo huo.
hata hivyo mazao ya nafaka kama mahindi, mpunga, choroko, dengu yanastawi sana ktk eneo hilo, na yanalimwa sana na wenyeji wa maeneo hayo.
wito wangu ni kwa mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na raslimali fedha, tukajiunga nae, kwanza kwa kufanya 'survey' ktk eneo huskika
halafu tukafanya upembuzi yakinifu, ni mradi ambao hauwezi kupoteza ukizingatia shamba liko karibu na chanzo cha uhakika cha maji,
na mazao hayo ya viungo na hata ya chakula ni 'hot cake'
naomba kuwasilisha....!