mwanaumeJinsia yako?
Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika usiku awe tayari kwa hilo, mkazi wa dar . Awe na uwezo wa kushawishi ,ukiwa unafahamu lugha nyingi za nyumbani tanzania itakuwa vizuri ila sio lazima, elimu ni kuanzia certificate na kuendelea , kijana , partner nitapendelea wa kike asiwe ameolewa hata wa kiume sio mbaya.
Mtaji atakaochangia ni laki nne, nusu ya hiyo ni partnership fee ,nusu ni kuongezea mtaji.
Matarajio ; biashara pato lake ni kubwa na nzuri na yenye nafasi ya kukua. Kama uko tayari nipigie simu 0685100336 au pm tuongee na unishawishi kwanini wewe kama partner.
poa ,nakucheki pmWewe unachangia shilingi ngapi?
Njoo pm tufanyiane interview ila mi kidume but competent...!
hapana, ni biashara itakayokuwa na wafanyakazi jinsia zote na sio mmoja ni wengi na huwezi fanya kitu kinahusu sherehe au events na wadada wasichukue nafasi yao. Partner katika biashara ambaye ameolewa hapana nafanya biashara since 2009 naelewa matatizo yake. Na sio lazima mdada . Nahitaji mtu mwenye uwezo na uvumilivu kwenye biasharanaona anajitafutia kamchepuko...
Biashara inahusika na sherehe na events mbalimbali, partner wa biashara awe na sifa zifuatazo. Uwezo wa kumanage watu na kuratibu, uwezo wa kutafuta masoko, awe mchapakazi, shughuli nyingi zitakuwa zinafanyika
bado ndio natafuta partner kuanzisha. Ni kama event management lakini siwezi sema moja kwa moja ni hivyo. Ofice itakuwa darofisi iko mkoa gani, au dar sehemu gani? hiyo laki nne ni share capital ya asilimia ngapi? kampuni in uzoefu kwenye haya masuala ya events management, au ni changa?
still on establishmentWork on Progress