Natafuta partner tuanzishe NGO, jinsia KE

Doctor G

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
2,819
5,279
Habari wakuu,

kama title inavyojieleza nahitaji serious partner jinsia ya kike,tuanzishe NGO from scratch

Mimi ni kijana wa kiume ni hard worker,serious,goal oriented na nimefanya kazi na NGOs kadhaa ikiwemo Ifakara health institute n.k tangu 2019 nimekuwa na ndoto ya kuwa na NGO kubwa hapo baadae

Partner atakuwa co-founder na executive director

Kwa ambaye yuko serious karibu PM

Shukran.
 
Huyo mtu anaweza akawa wa mkoa wowote?
 
Ni ushauri tu.

Weka sifa za MTU unaemhitaji ambazo ni productive kwenye project yako na sio kutaja jinsia

Ningetamani uweke sifa za MTU awe anajua kuandika proposal vizuri , kutafuta funds n.k

Change mindset brother other unaenda kufeli
 
Habari wakuu,

kama title inavyojieleza nahitaji serious partner jinsia ya kike,tuanzishe NGO from scratch

Mimi ni kijana wa kiume ni hard worker,serious,goal oriented na nimefanya kazi na NGOs kadhaa ikiwemo Ifakara health institute n.k tangu 2019 nimekuwa na ndoto ya kuwa na NGO kubwa hapo baadae

Partner atakuwa co-founder na executive director

Kwa ambaye yuko serious karibu PM

Shukran.

Kwa kigezo ulichoweka nadhani we hauko kikazi ila una malengo yako juu ya huyo partner
 
Habari wakuu,

kama title inavyojieleza nahitaji serious partner jinsia ya kike,tuanzishe NGO from scratch

Mimi ni kijana wa kiume ni hard worker,serious,goal oriented na nimefanya kazi na NGOs kadhaa ikiwemo Ifakara health institute n.k tangu 2019 nimekuwa na ndoto ya kuwa na NGO kubwa hapo baadae

Partner atakuwa co-founder na executive director

Kwa ambaye yuko serious karibu PM

Shukran.
Umri?
 
Kigezo kikuu awe mwanamke,vigezo vingine hakuna......unapoishi hamna wanawake boss?
 
Kwa kigezo chako cha jinsia tu, umeshafeli tayari kamwe hutaweza kuanzisha NGO labda ubadili mawazo yako.
 
Back
Top Bottom