As Salaam alaykum
Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.
Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.
Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.
* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu ni bora)
* Anajua kutumia SKYPE
Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro
Awe wa kike au wakiume?
Unafanya ubaguzi hadi mwezi wa mfungo ?As Salaam alaykum
Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga.
Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika.
Kwa mfupi, ninawatafuta watu na characteristic hizi.
* Tanga
* Mtaji hata mdogo
* Mwaminifu (Muislamu ni bora)
* Anajua kutumia SKYPE
Ukifahamu vizuri, tunataka kufanya biashara ya agro
Utafikri anatafuta muendesha mihadharaAcha zarau dogo unaleta udini mpaka kwenye kilimo
Sidhani kama uislamu unafundisha hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app