Natafuta part time job

Natafuta part time job

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Kwema wakuu,
Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar.

Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha processing na katika maabara yeyote ya processing.

Kwa maongezi zaidi, nipm
Nawasilisha
 
Unatafuta kazi kwa masharti hivyo kijana?
Sio miaka hii engineers walipata kazi kwa masharti 90's sio sasa kila nyumba kuna engineer by professional but anashinda betting stations.
 
Kama bado uja pata ni PM natafta CCTV inayo tembea malipo tuna elewana ...au utaki[emoji41]
 
Kwema wakuu,
Kutokana na changamoto za maisha, natafuta part time job kuanzia mwezi ujao mwishoni katika jiji LA Dar.

Ni professional Eng. Nina uwezo wa kufanya kazi katika kiwanda chochote cha processing na katika maabara yeyote ya processing.

Kwa maongezi zaidi, nipm
Nawasilisha
Wewe ni mtu wa BPE bila shaka!!?
 
Unatafuta kazi kwa masharti hivyo kijana?
Sio miaka hii engineers walipata kazi kwa masharti 90's sio sasa kila nyumba kuna engineer by professional but anashinda betting stations.
Sio kwamba kazi sina, ninayo tena nzuri tu, kwa maongezi zaidi nipm
 
Back
Top Bottom