Natafuta Part time Job

x.jamex1

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
76
Reaction score
27
Mimi ni kijana niliemaliza chuo huu mwaka..katika harakat za kutafuta ajira nitakuwa nina uhitaj kidogo..hivo ili kujikimu ninaomba wana JF kwa yoyte anaeweza hitaji mtu wa kumsaidia kazi awe skilled au unskilled anisaidie ili mradi tu nipate chochote kinywani..kama una uhitaji naomba nicheck PM
 
wewe unatafuta kazi kipindi kigumu...nenda kasome The Great Economic Depression halafu urudi tena.
 
Hujawa specific ..

Umesoma 'kozi' gani na unahitaji ufanye part time ya kazi ya aina gani?

Mjini kuna kazi nyingi mkuu hadi mwenyewe utastaajabu!
 
Hujawa specific ..

Umesoma 'kozi' gani na unahitaji ufanye part time ya kazi ya aina gani?

Mjini kuna kazi nyingi mkuu hadi mwenyewe utastaajabu!
Nakuelewa mkuu..nkmesoma civil eng. Ila nahitaji kazi yoyote halali inayoweza niingzia kipato cha kujikimu
 
wewe unatafuta kazi kipindi kigumu...nenda kasome The Great Economic Depression halafu urudi tena.
Hah hah...sawa sawa mkuu..hyo nlshasoma o level hapa najarbu bahat yangu
 
Daaah umemalizia pabayaa saaanaa mdau
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…